top of page

WELCOME TO WOMEN MOVES

Mfumo rahisi kwa watu wote

Ni Zaidi ya VICOBA na ujasiriamali
HUDUMA ZETU
Tunawezesha wanawake kiuchumi (kwa kuwashirikisha wanaume) kupitia mafunzo ya VICOBA na ujasiriamali. Tunatumia Simu kufikia watu wengi Zaidi.



VICOBA
Tunafungua vikundi vya vya VICOBA na kuvisimamamia. Tunavipatia elimu ya fedha na kuviunganisha na fursa mbalimbali
UJASIRIAMALI
Tunatoa mafunzo ya ujasiriamali kwa vikundi vyetu na watu wanaohitaji kujiunga au kufungua vikundi vipya
HUDUMA YA SIMU
Tunatoa huduma kwa kwa njia ya simu na mitandao. Unaweza kutupigia au kutuma ujumbe ukiwa kwenye mitandao ya kijamii
"Kama unasimu, Unaweza
Annalyse Basita

bottom of page